Logo

Webible

//
13. Basi, akaona kwa mbali mtini wenye ...

Marko

Kapitola 11 : Verš 13

13 / 33

Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.