Logo

Webible

//
18. Makuhani wakuu na walimu wa Sheria ...

Marko

Kapitola 11 : Verš 18

18 / 33

Makuhani wakuu na walimu wa Sheria waliposikia hayo, walianza kutafuta njia ya kumwangamiza. Lakini walimwogopa kwa sababu umati wa watu ulishangazwa na mafundisho yake.