Kapitola 22 : Verš 4
Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, <FO>Waambieni wale walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng'ombe wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.<Fo>