Logo

Webible

//
20. Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu...

Mathayo

Kapitola 9 : Verš 20

20 / 38

Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.