Logo

Webible

//
14. Lakini mkuu wa sunagogi alikasirika...

Luka

Kapitel 13 : Vers 14

14 / 35

Lakini mkuu wa sunagogi alikasirika kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku ya Sabato. Hivyo akawaambia wale watu walikusanyika pale, "Mnazo siku sita za kufanya kazi. Basi, fikeni siku hizo mkaponywe magonjwa yenu; lakini msije siku ya Sabato."