Kapitel 13 : Vers 7
Basi, akamwambia mfanyakazi wake: <FO>Angalia! Kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kuchuma matunda ya mtini huu, nami nisiambulie kitu. Ukate! Kwa nini uitumie ardhi bure?<Fo>