Kapitel 7 : Vers 11
Lakini ninyi mwafundisha, <FO>Kama mtu anacho kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),