Kapitel 12 : Vers 7
Kama tu mngejua maana ya maneno haya: <FO>Nataka huruma wala si dhabihu<Fo>, hamngewahukumu watu wasio na hatia.