Logo

Webible

//
4. Yosefu pia alifanya safari kutoka m...

Luka

Κεφάλαιο 2 : Εδάφιο 4

4 / 52

Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya. Kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yuda alikozaliwa Mfalme Daudi.