Logo

Webible

//
15. "Ole wenu walimu wa Sheria na Mafar...

Mathayo

Chapter 23 : Verse 15

15 / 39

"Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumpata mtu mmoja afuate dini yenu. Mnapompata, mnamfanya astahili maradufu kwenda katika moto wa Jehanamu kuliko ninyi wenyewe.