Chapter 8 : Verse 9
Maana, hata mimi niliye mtu chini ya mamlaka ya wengine, ninao askari chini yangu. Namwambia mmoja, <FO>Nenda!<Fo> naye huenda; na mwingine, <FO>Njoo!<Fo> naye huja; na mtumishi wangu, <FO>Fanya kitu hiki!<Fo> naye hufanya."