Logo

Webible

//
15. Basi, wakafika Yerusalemu. Yesu aka...

Marko

Capitolo 11 : Versetto 15

15 / 33

Basi, wakafika Yerusalemu. Yesu akaingia Hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu humo ndani. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilishana fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.