Logo

Webible

//
14. Basi, mfalme Herode alisikia juu ya...

Marko

第6章 第14節

14 / 56

Basi, mfalme Herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za Yesu zilienea kila mahali. Baadhi ya watu walikuwa wakisema, "Yohane Mbatizaji amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."