Logo

Webible

//
51. Basi, akarudi pamoja nao hadi Nazar...

Luka

장 2 : 절 51

51 / 52

Basi, akarudi pamoja nao hadi Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka mambo hayo yote moyoni mwake.