장 21 : 절 38
Lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: <FO>Huyu ndiye mrithi; na tumuue ili tuuchukue urithi wake!<Fo>