17 - Kisha akawafundisha, "Imeandikwa: <FO>Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote!<Fo> Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi!"
Select
Marko 11:17
17 / 33
Kisha akawafundisha, "Imeandikwa: <FO>Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote!<Fo> Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi!"