4 - Wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning'inia kwenye mkono wake waliambiana, "Bila shaka mtu huyu amekwisha ua mtu, na ingawa ameokoka kuangamia baharini, <FO>Haki<Fo> haitamwacha aendelee kuishi!"
Select
Matendo 28:4
4 / 31
Wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning'inia kwenye mkono wake waliambiana, "Bila shaka mtu huyu amekwisha ua mtu, na ingawa ameokoka kuangamia baharini, <FO>Haki<Fo> haitamwacha aendelee kuishi!"