Chapter 13 : Verse 14
Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: <FO>Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.