25 - "Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga mlango. Ninyi mtasimama nje na kuanza kupiga hodi mkisema: <FO>Bwana, tufungulie mlango.<Fo> Lakini yeye atawajibu: <FO>Sijui mmetoka wapi.<Fo>
Select
Luka 13:25
25 / 35
"Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga mlango. Ninyi mtasimama nje na kuanza kupiga hodi mkisema: <FO>Bwana, tufungulie mlango.<Fo> Lakini yeye atawajibu: <FO>Sijui mmetoka wapi.<Fo>