Logo

WeBible

5. Huduma zao za kikuhani ni mfano tu ...

Waebrania

Chapter 8 : Verse 5

5 / 13

Huduma zao za kikuhani ni mfano tu na kivuli cha yale yaliyoko mbinguni. Ndivyo pia ilivyokuwa kwa Mose. Wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, Mungu alimwambia: "Tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani."

Waebrania 8:5