Logo

Webible

//
32. Maana Yohane alikuja kwenu akawaony...

Mathayo

Kapitola 21 : Verš 32

32 / 46

Maana Yohane alikuja kwenu akawaonyesha njia njema ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote ninyi hamkubadili mioyo yenu, na hamkusadiki."