Logo

Webible

//
16. Na sasa yeye si mtumwa tu, ila ni b...

Filemoni

Rozdział 1 : Werset 16

16 / 25

Na sasa yeye si mtumwa tu, ila ni bora zaidi ya mtumwa: yeye ni ndugu yetu mpenzi. Na wa maana sana kwangu mimi, na kwako atakuwa wa maana zaidi kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.